Namna ya kupunguza tumbo kwa wanawake

Namna ya kupunguza tumbo kwa wanawake KUWA na umbo la kuvutia ni matarajio ya wanawake wengi kwa kuwa huo ndiyo msingi wa urembo wao na huchangia kwa kiasi kikubwa kumfanya mhusika aonekane bomba hata kwa mavazi yake ya aina mbalimbali. Kuwa na matumbo makubwa ni tatizo ambalo limekuwa likikwamisha ndoto za wanawake wengi kufikia kiwango cha urembo wanaohitaji. Kwa mujibu wa wataalamu, ulaji holela ni chanzo kikuu cha kunenepa. Lakini mimi kama mtaalamu wa afya kwa upande wa dawa, kuna dawa nzuri sana za vidonge zinazotokana na mimea ambazo watu wengi wamekuwa wakitumia na zinawasaidia sana. ...