Namna ya kupunguza tumbo kwa wanawake

     Namna ya kupunguza tumbo   kwa wanawake  

KUWA na umbo la kuvutia ni matarajio ya wanawake wengi kwa kuwa huo ndiyo msingi wa urembo wao na huchangia kwa kiasi kikubwa kumfanya mhusika aonekane bomba hata kwa mavazi yake ya aina mbalimbali.
Kuwa na matumbo makubwa ni tatizo ambalo limekuwa likikwamisha ndoto za wanawake wengi kufikia kiwango cha urembo wanaohitaji. Kwa mujibu wa wataalamu, ulaji holela ni chanzo kikuu cha kunenepa.
                                                          

Lakini mimi kama mtaalamu wa afya kwa upande wa dawa, kuna dawa nzuri sana za vidonge zinazotokana na mimea ambazo watu wengi wamekuwa wakitumia na zinawasaidia sana.

                                                    

Dawa hizi zina fanya kazi kwa kupunguza hamu ya kula na pia zinasaidia kuondoa mafuta mwilini( convert fat into glucose).
Kwa wale wanao hitaji wanaweza kunipigia 0654408562/ 0762511952


Imeandaliwa na Felix Mbanga
Email: f.mbanga@yahoo.com


Phone:0654408562/0762511952

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA YA MATUMIZI YA TENDE KATIKA KUONGEZA KINGA YA MWILI NA TENDE

FIRST AID : UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

JE, NI KWELI MATANGO NI DAWA?