FIRST AID : UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

Ni kijiboksi kidogo ama kibegi kidogo ambacho Hutumika kuhifadhia dawa na vifaa mbalimbali. Vitu hivi hutumika kusaidia kutibu ama kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyepatwa na jeraha
Ndani ya kijiboksi hiki kunakuwa na vifaa Kama plasters ambazo hutumika kufunika kidonda hasa unapojikata na kifaa cha ncha Kali Kama wembe, kisu, kipande cha chupa , bati na kadhalika.
Lakini pia kuakuwa na bandage, mkasi mdogo, surgical blade, pin, nk.

Mbali ya vifaa hivyo vidogo dogo pia kunakuwa na dawa Kama za kuua wadudu kwenye jeraha( metylated spirit), dawa za kuzuia kuharisha hasa unapokuwa safarini( loperamide), dawa za kuzuia maumivu kama panadol na ibuprofen, dawa za kuzua allegy na miwasho ya ngozi, dawa ya kutibu mafua, silverex cream ambayo husaidia kutibu majeraha ya moto, pia kunakuwa na dawa ya kuondoa maumivu ya misuli( volin gel, volterin gel, fastum gel etc) , kunakuwa na tochi ndogo kwaajiri ya kufanyia uchunguzi kwa maeneo Kama mdomoni, nk.
Vipo vituvingi sana lakini nimejaribu kuelezea hivyo vichache.
Gharama za kifaa hiki si kubwa sana, kwa hivyo inakuwa vema sana kwa familia zetu kuwa na kifaa kama hiki ilikuweza kujisaidia pale tatizo dogo linapotokea kabla ya kumfikisha mgonjwa hospitali basi anaweza akahudumiwa kwa kupewa matibabu ya awali ili kuokoa maisha yake.

Yawezekana una uhitaji wa first aid box kwa mahitaji ya nyumbani, office, hotelini, shuleni, katika chombo cha usafiri Kama gari ya abiria.
Pia yawezekana hujui ni vitu gani vyamsingi unatakiwa kuweka kwenye first aid kiti yako.
Nitakupatia karatasi ya maelezo na majina ya kila kifaa kilichopo ndani ya first aid box. Hapa ofisini kwangu SEA CLIFF/ masaki utaipata kwa bei nzuri na katika ubora mzuri.

Tuwasiliane kwa Namba yangu ya Simu 0654408562

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA YA MATUMIZI YA TENDE KATIKA KUONGEZA KINGA YA MWILI NA TENDE

DOES SKIN CREAMS BLEACH THE SKIN, AND WHAT WOULD YOU RECOMMEND FOR ACNE SCARS ON THE FACE AND CHEST?