Posts

Showing posts from May, 2012

FIRST AID : UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

Image
Ni kijiboksi kidogo ama kibegi kidogo ambacho Hutumika kuhifadhia dawa na vifaa mbalimbali. Vitu hivi hutumika kusaidia kutibu ama kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyepatwa na jeraha Ndani ya kijiboksi hiki kunakuwa na vifaa Kama plasters ambazo hutumika kufunika kidonda hasa unapojikata na kifaa cha ncha Kali Kama wembe, kisu, kipande cha chupa , bati na kadhalika. Lakini pia kuakuwa na bandage, mkasi mdogo, surgical blade, pin, nk. Mbali ya vifaa hivyo vidogo dogo pia kunakuwa na dawa Kama za kuua wadudu kwenye jeraha( metylated spirit), dawa za kuzuia kuharisha hasa unapokuwa safarini( loperamide), dawa za kuzuia maumivu kama panadol na ibuprofen, dawa za kuzua allegy na miwasho ya ngozi, dawa ya kutibu mafua, silverex cream ambayo husaidia kutibu majeraha ya moto, pia kunakuwa na dawa ya kuondoa maumivu ya misuli( volin gel, volterin gel, fastum gel etc) , kunakuwa na tochi ndogo kwaajiri ya kufanyia uchunguzi kwa maeneo Kama mdomoni, nk. Vipo vituvingi sana lakini nimejaribu...

NDIZI MBIVU ZINA UMUHIMU SANA SANA KWA AFYA YAKO

Image
UMUHIMU WA NDIZI MBIVU KWENYE AFYA YAKO Baada ya kusoma makala yangu ya leo na kuzingatia nilichokiandika, bila shaka utaanza kuiangalia ndizi kwa mtizamo tofauti na uliokuwa nao hapo awali. Ndizi mbivu ni tunda maarufu sana duniani lakini ni watu wachache wanaojua uwezo, faida na maajabu yaliyomo kwenye tunda hili. Ndizi ina aina tatu za kipikee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na vile vile ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre) ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata nishati ya kufanyakazi ya muda wa dakika 90 kwa kula ndizi mbili tu. Bila shaka ndizi ni tunda muhimu sana kwa wanamichezo. Hata hivyo, nishati siyo faida pekee unayoweza kuipata katika ndizi, ni tunda lenye uwezo pia wa kuponya na kuzuia matatizo mengi ya kiafya: MFAIDHAIKO WA AKILI (DEPRESSION) Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chama Cha Afya ya Akili cha Taifa (MIND) cha nchini Uingere...

KWANINI NGOZI YAKO IZEEKE MAPEMA?

Image
ALOE VERA Intensive skin care. Kwa wale wanaojali ngozi zao, gel hii inaweza kuwa msaada sana hasa ktk kuifanya ngozi isizeeke mapema (antiaging of your skin). Pia dawa hii imekuwa msaada kwa wazee ambao ngozi zao zimekunjamana sana. Dawa hii ina 90% ya aloevera barbadensis , ni kirutubisho hiki kinacho saidia kurutubisha ngozi na kuirudisha ktk Hali yake halisia Pia gel hii inauwezo mkubwa sana wa kutuliza miwasho ya ngozi inayosababishwa na ngozi kuungua na moto ama jua kali, mikwaruzo, kuumwa na wadudu Kama mbu, nge,nk Kwa mahitaji piga 0762511952/ 0654408562. QUALITY AND PRICE MATTERS A LOT. WE ARE AFFORDABLE