BODY AND MIND ENERGY BOOSTER



Hii ni product mpya kabisa, inatumika kama supplement kwaajili ya kuongeza nguvu mwilini na pia kuongeza uwezo wa akili kufanya kazi kwa kiwango cha juu. Inatengenezwa na NATIVA /SOUTH AFRICA.

Product hii ni nzuri kwa watu wote, lakini pia inaweza kuwa na msaada zaidi kwa wanafunzi ambao wana mambo mengi sana ya kusoma na kukumbuka,

pia inafaa kwa watu wa maofisini ambao akili huchoka kwa sababu ya kazi za ofisi

One satchet a day

Kiujumla ni kwamba supplement hii ina saidia kuboresha mzunguko wa damu na hivyo kuifanya akili/ ubongo upate oxygen na glucose ya kutosha na hivyo kufanya kazi kwa kiwango cha juu

Je product hii ina tengenezwa na nini?

Bila shaka hili ni swali la wengi;

Product hii imeundwa na GINKGO BILOBA pamoja na Ginseng na VITAMIN C.

Imetengenezwa kwa chenga chenga ndogo ambazo zipo kwenye vifuko ( satchets) , na kila kijifuko ni kwaajili ya glasi moja ya maji ama juice ambamo huchanganywa na kuleta radha tamu ya machungwa tayari kwa kunywa.

Mimi ni mmoja wapo kati ya watu waliotumia supplement hii, mara niamkapo asubuhi ninapojisikia uchovu sana basi napata glasi moja ya juice iliyochanganywa na supplement hii.

Hii inaniwezesha kujisikia niko fresh na mwenye nguvu za mwili na akili.

Kwa msaada zaidi juu ya namna ya kupata product hii ambapo utapewa maelezo ya kitaalamu zaidi na kuuziwa kwa bei nzuri tupigie

            0654408562 / 0762511952



FELIRx.wordpress.com

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA YA MATUMIZI YA TENDE KATIKA KUONGEZA KINGA YA MWILI NA TENDE

FIRST AID : UMUHIMU WAKE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

JE, NI KWELI MATANGO NI DAWA?